Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


MASTER NA JIKO 150,000 Γ 4 MBEZI MWISHO MAGUFULI
Maji dawasco yanatoka ndani masaa 24 na luku mnashea familia mbili tuu
Ipo kwenye fensi na hii moja ndio ipo wazi
Ipo MBEZI MWISHO njia ya kuelekea Mpigi Magohe kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 15 tuu kwa miguu
Bei ni 150k x 4,5,.... Unaweza kulipa kuanzia miezi 4 na kuendelea.
SERVICE Charge ni shillingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300