Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


IMESHUKA BEI NDUGU MTEJA
KUTOKA 350K
KWA SASA NI 300,000/= X6
=============
NYUMBA KUBWA NZURI
INAJITEGEMEA FENSI
IPO MBEZI MAGUFULI STENDI YA MKOA
<<<<<<<<<<<<<<<<
UMBALI KUTOKA STENDI NI KM 1,5
PKPK 1000/
________________
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VITATU 3
KIMOJAWAPO NI MASTA
SEBULE KUBWA SANA
DAINING JIKO CHOO CHA PABLIC NA STOO
UMEME NA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
INAJITEGEMEA FENSI
PAKING SPESI NI KUBWA
<<<<<<<<<<<<<
KODI 300,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI 300,,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMB
=========