Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT MPYAAA KALI SANA ZINAPANGISHWA ZIPO STOP OVER KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 12
KUTEMBEA BODA BUKU
SIFA ZA NYUMBA
==================
CHUMBA MASTAR SEBULE
NA. JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
NDANI YA FENSI NYUMBA SITA
=====
KODI 250,000/= X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
ANGALIZO
NYUMBA ZITAKUA TAYARI KUAMIA TAR 1 /3/2025
UNALUSIWA KUONA NA KULIPIA PIA UNAWEZA KUAMIA TAR 20 AU 25 LAKINI MKATABA UTASOMA TAR 1 MACH
=====
CONT
0718367179
0683234124
CAL