Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







HAPO SOMA KWA UMAKINI NDUGU MTEJA
ZINAPANGISHWA ZIPO
MBEZI STENDI YA DALADALA NI DK 6
TU KWA MGUU
APATIMENTI HIZI ZINATOFAUTIANA
ZIPO NDANI YA FENSI ILA HAILAZI GARI
SEHEMU YA KUPAKI IPO
====
A)
CHUMBA MASTER ZA KIBACHELA ZA WASTANI
KODI. 100,000/=X6
UMEME INAJITEGEMEA NA MAJI
===
B)
CHUMBA MASTER KUBWA
UMEME INAJITEGEMEA
NA MAJI
KODI. 150,000/=X6
===
C)
CHUMBA MASTER KUBWA SANA
SEBULE KUBWA NA JIKO NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
KODI. 300,000/=X5
====
D)
CHUMBA MASTER NA SEBULE NA KIBARAZA CHAKE HAINA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
KODI. 250,000/=X5
====
KUONA NYUMBA 15000/=
UTAMLIPA DALALI HELA YA MWEZI MMOJA
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0712656027