Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA FAMILIA YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6,5
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA PIA VYOTE NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA MPYA KABISA UNAZINDUWA MWENYEWE
BEI NI 400,000/= X 6
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU AU 5
ποΈ APARTMENT HII IPO MBEZI HIGH UMBALI WA DAKIKA 10 TU BODABODA SH ELFU 1 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0785888413
#0754589413