Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


🏠MPYAA MPYAA APARTMENTS NZURI SANAA ZIKO TATU NDANI YA FENSI KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME WAKE NA MAJI YANAFLOW NDANI
🔥NICE HOUSE, GOOD ENVIRONMENT
SIFA ZAKE
>CHUMBA KIKUBWA
>SEBULEE
>JIKO
>CHOO CHA PUBLIC (NDANI)
#TAILS
#GYPSUM
#SLIDE WINDOWS
#FENI
#LUKU YAKO MWENYEWE
🛣ENEO:KIMARAA MWISHO
IPO UPANDE WA KUSHOTO UKIWA UNAENDA MBEZI
UMBALI KUTOKA BARABARANI KM 2.5
USAFIRI BAJAJI 1000.BODABODA 1500
đź’°BEI:LAKI 2 X Miezi 6
ILIPWE LAKI MBILI KWA MWEZI KWA MUDA WA MIEZI 6
SERVICE CHARGE ELFU 15
Ukilipa nyumba mwenzi mmoja wa dalali
PIGA SIMU
0719969102
0714903124