Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


#STAND_ALONE_INAJITEGEMEA_HII / NYUMBA KUBWA NZURI YA GOROFA UNAISHI PEKE YAKO INAPANGISHWA MBEZI MPIJI MAGOHE
====
Sifa zake
Ground floor
Kuna Sebule kubwa kama uwanja, dinning, jiko lililosheheni makabati chumba cha kulala kimoja na public toilet
First floor
Kuna Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom kubwa Sana na public toilet
===
Kodi 600,000 Kwa mwezi Γ 6
===
Nyumba ipo kwenye ENEO kubwa Sana almost 3 hectares unaweza ukafuga uka Lima etc .
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
0679447338
0753454167