Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


ENEO LA KIUWEKEZAJI KIBIASHARA LINAUZWA LIPO MBEZI MSAKUZI MANISPAA MPYA YA UBUNGO ,KWA KUPITIA BARABARA YA MPIGI MAGOE KITUO NI KWA ASENGA UMBALI WA DK 15 MWENDO WA MIGUU KUTOKA BARABARA YA MBEZI MPIGI MAGOE.
Eneo linafaa kwa Makazi au kibiashara kwa kujenga Apartments za kupangisha, Shule ( Day care ) ,Hospital n.k.
Eneo lina ukubwa wa -
Hekali Moja
Bei Milioni 150
Maongezi yapo kidogo.
--------
DOC - Ni za Mauziano kutoka Serikali YA mtaa.
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI


















