Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2024
====================
SIFA ZA NYUMBA
############
# CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
==================
BEI NI 250,000/= X 3
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
===================
ποΈ APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO JIRANI KABISA NA STAND YA MABASI YA KUELEKEA MALAMBA MAWILI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
=====================
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2024
===================
π₯ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
===================
CONTACT
0742260844
0657384670