Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT INAPANGISHWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK (5) TOKA MOR ROAD
ILIVYO
CHUMBA MASTAR SEBULE JIKO OPEN KITCHEN
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
IPO NDANI YA FENSI GET ALIJAWEKWA BADO
KODI 200 X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















