Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APATIMENTI MPYAA KABISA ZINAPANGISHWA
ZIPO MBEZI KWA YUSUFU UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1,TUU
USAFILI BAJAJI 1000/=
DALADALA 700/=
====
HAPA ZIPO AINA MBILI
TOFAUTI
A)
CHUMBA MASTAR KUBWA SANA NA SEBULE NA SEHEMU YA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
====
KODI 200,000/=X6
DALALI 200,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA 15000/=
=====
B)
CHUMBA MASTAR KUBWA SANA NA SEHEMU YA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
====
KODI 150,000/=X6
DALALI 150,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
SIMU
0713656027