Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT 2 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA NA HII MOJA NDIYO IPO WAZI MBEZI BEACH
--------
Vyumba 3 vya kulala vyote master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Full air condition
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-----------
Service charge 20,000/=
Kodi 1,500,000/=Γ6
-------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni milioni 1.5
--------------
Contact
π#0676_218580 (WhatsApp)
π#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beachπΉπΏ