Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


CHUMBA KIMOJA MASTER CHA KIBACHELA KINAPANGISHWA
LOCATION:
MBEZI YA MAGARI SABA / CHUO CHA ST JOSEPH
UKIWA UNAENDA MOROGORO UPANDE WA KULIA
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 10 KWA MIGUU
IPO NDANI YA FENCE
UMEME SUBMITA YAKE
WAPANGAJI MABACHELA TU HUMO
SIO NYUMBA YA FAMILIA
MAJI CHOONI YANATOKA
KODI 70,000 X 4
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM 0674860193