Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM NZURI INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUPH #80k
Chumba cha kulala Choo ndani
Maji yanaflow chooni
Umeme shared
Kodi 80,000 Kwa mwezi Γ 3
Umbali Dakika 10 Kwa mguu toka Kwa Yusuf
Ndani ya fence parking kubwa
NB: MKAAJI AWE WA KIKE AU MUME NA MKE
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Call 0659244543