Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam






KODI 100000 X4,5,6
APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHO
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNATOKA MJINI
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 2 POINT 5
USAFIRI BAJAJI 1000
BADA BODA 1500
SIFA YA NYUMBA
CHUMBA MASTA SEBULE
KODI 100000 x4,5,6
UMEME MAJI YA KUSHEA WATATU
ZIPO NYUMBA TATU KWENYE FENSI MOJA
NYUMBA MBILI ZIPO WAZI
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
CALL 0659244543