Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI
‐-----
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Luku yako
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa
-------
Service charge 20,000/=
Kodi 800,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 8
---------
Contact
📞#067_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach🇹🇿🍾