Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
KODI 300,000/=X6
=========
APATIMENT ZIPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STRNDI YA MABASI MAKUBWA YA MAGUFURI
UMBALI WA KUTOKA HAPO STENDI DAKIKA 8 KWA MIGUU BODA BODA 1000
==========
BARABARA INAFIKIKA MUDA HOHOTE
===========
SIFA YA NYUMBA INA VYUMBA VYA KULALA VIWILI KIMOJA MASTA SEBLE
NA JIKO
CHOO CHA PABLIKI
UMEME MAJI KILA NYUMBA INAJITEGEMEA
===========
KWENYE FENSI ZIPO NYUMBA TATU 3
PAKING YA KUTOSHA
============
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
============
NYUMBA MOJA ITAKUA WAZI TAREHE 1 MWEZI WA KWANZA
============
CONT
0683234124
0718367179