Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 350000X6 0679 956 863
//////
APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHO
UKISHUKA MBEZI KWENDA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA DAKIKA 6
BODA BODA 1000
BARABARA INAFIKIKA MUDA HOHOTE
ZIPO NYUMBA TATU KWENYE FENSI MOJA
NYUMBA MOJA IPO WAZI
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA VYA KULALA
VIWILI KIMOJA MASTA
SEBULE KUBWA CHOO
CHA PABILIKI
JIKO PANA
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNALIPA KODI YA MWEZI MOJA
0679 956 863
0781 418 437
0759151524