Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
Apartment for rent
Date listed
15 05 2024
Direction
Mbezi yakimara mwisho kibamba kwa mangi
Fixed price
Laki 2 kwa mwezi kodi miezi 3
Service charge yakuona nyumba ni shi 30000 pia nakodi yamwezi 1 wadalali
Nimastar nasebule najiko full tiles full gypsum mazingira tulivu nyumba safi yakuhamia paking ipo
Notes
DC
Real Estate company
EPuka Matapeli fanya kazi na madalali wenye office na waliosajiliwa
Fika offisini kwetu sinza madukani near manyara hotel
Call
0688 49 82 99
0758 43 02 45 whatsAp