Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA MBEZI BEACH MAKONDE
------
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Garden safi
Mazingila mazuri sana
NDANI YA FENCE
Parking space kubwa sana
-------
Service charge 20,000/=
Kodi 800,000/=Γ6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 8
---------
Contact
π#0676_218580(WhatsApp)
π#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach πΉπΏ