Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
KODI 150000x6. 0759151524
APATIMENT ZIPO MBEZI KWA MSUGURI
=
KUTOKA BARABARANI
NUSU KILOMITA
KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 15
BODA BODA 1000
SIFA YA NYUMBA CHUMBA MASTA KIKUBWA SEBULE KUBWA
UMEME KILA NYUMBA INAJITEGEMEA MAJI YA KUSHEA ZIPO KWENYE FENSI ILA GARI AIPAKI NDANI
ZIPO NYUMBA TATU MOJA IPO WAZI
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA KODI DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
0679 956 863
0759151524
0781418437