Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


180,000/=
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA BEI NI
180,000/= X 6
π₯ HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU METER YAKO MAJI DAWASA YAPO KWA NJE
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
γγγγγγγγγγγγ
BEI NI 180,000/= X 6
γγγγγγγγγγγ
ποΈ APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NJIA YA MAKABE USAFIRI NI BAJAJI SH 700
BODA 1000
NB: NYUMBA INARUDIWA RANGI
PIGA SIMU CHAPU UHUDUMIWE
0679 956 863
0696708032