Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI KABISAAA INAPANGISHWAAA BEI YA KUTUPA KABISAAA WATEJA ZANGUUU
LOCATION:MBEZI MSUMI
BAJAJI 1500
KODI YAKE:80,000=/KWA MWENZI MALIPO MIEZI 4
SIFA YA NYUMBA
CHUMBA
SEBURE
CHOOO
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
FENCE
PARKING KUBWA KABISA
PAVING BLOCK
CCTV CAMERA
CONTACT
0782428327