Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI MNO ZA KISASA ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO NJIA YA MAKABE
--------
Chumba master kikubwa
Seble kubwa mnoo
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Full air condition
Tiles
Gypsum
Slide window
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 20,000/=
Kodi 450,000/=ร6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4.5
-----------
Contact
๐#0676_218580(WhatsApp)
๐#0693_673010
#DALALI_BIG_GOBA_MBEZI_BEACH ๐น๐ฟ