Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


#VYUMBA_VIWILI_VYA_KULALA#
INAPANGISHWA #APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH MASANA NJIA YA GOBA
———————————————————
NOTE: UKICHELEWA USILALAMIKE🤣
KODI TSHS LAKI 250,000/=KWA MWEZI
________________
MALIPO YA MIEZI 6
————-
APART YA KISASA
_________________
KUBWA YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba viwili vya kulala,#Sebule # Jiko, #Choo/#Bafu vya ndani public #Gypsum #Tiles #
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks
FencedApart
Garden
____________
Nione
dalali_mbezi_beach_godfrey1
#0625584914
#0652450348
______
Pia viwanja vinapatikana vya KUNUNUA
🙌