Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
CHUMBA MASTER KUBWA SEBULE KUBWA SANAA NA JIKO LUKU NA MITA YA MAJI YA DAWASCO INAJITEGEMEA BEI TSH 220 000 X6
NYUMBA ZIPO MBEZI MWISHO DK 6 KWA MIGUU KUTOKA KITUO CHA MABASI YA MWENDOKASI ZIPO 6 KTK COMPOUND MOJA FULL TAILS GYPSUM WINDOWS SLIDING MAJI YA DAWASCO YAPO MASAA 24 YANATOKA NDANI
NYUMBA ZIPO NDANI YA ELECTRIC SECURITY FENCE PARKING SPACE IPO
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347