Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA MPYAAAA KABISA INAPANGISHWA MBEZI MWISHO NJIA YA KWENDA MPIJI MAGOE
NYUMBA HII INASIFA ZIFUTAZO
NI CHUMBA SEBULE NA JIKO
IPO NDANI YA GETI
ZIPO APATMET4
UMEME MAJI UNAJITEGEMEA
BEI YA NYUMBA 200,000 KWA MWEZI MMOJA
ILIPIWE MIEZI6
USAFIRI UPO WA KUTOSHA
BAJAJI BUKU
PIKIPIKI 1500
DALADALA 700
UMBALI NI KILOMETA1 TU
UKITOKEA MBEZI MAGUFURI
NA UKISHUKA TU KWENYE USAFIRI UNAPIGA GETI TEKE
DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA HII 15000
KALIBU NDUGU MTEJA
SIMU 9659336751 WSP 0786085637