Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT
Hii ipo Mbezi kwa Msuguli Dsm km 1
#Sebule
#Dinning
#Jiko
#Public toilet
#Room 2 za kulala 1 Master
Luku yake Maji dawasa 24 hrs
Swipe left for more pictures
Bei Laki 4 x 6
Cont : 0713 - 796690 / 0758 - 767071 au 0686 - 325 935
Note : Kuja kuona nyumba 15,000
Dalali kodi ya mwezi 1