Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


CHUMBA SEBLE JIKO NA CHOO
INAPANGISHWA LAKI 300,000/= KWA MWEZI
MUDA WA MALIPO NI MIEZI 6
NYUMBA IPO MBEZI BEACH TANKI BOVU DAKIKA 5 TOKA LAMI HADI KWA NYUMBA
SERVICE CHARGE YA KUONYESHWA NYUMBA NI 20K
NJOO FASTAR TUMALIZE BIASHARA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
📳 0715384892