Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA HIO INAPANGISHWA VYUMBA VYA KULALA 3 .
KIMOJA MASTER NA INA PABLICK SEBLE PAMAOJA NA JIKO IKO NDANI YA FENSI STEND ALONE NYUMBA KALAI SANA .
BEI LAKI TATU NA NUSU 350000. KUANZIA MIEZI 4, 5 HADI 6 .NYUMBA IPO SEHEM NZURI BARABARA HATA GARI YA CHINI INAPITA .
NYUMBA IPO #MBEZI_MAKABE_MSAKUZI ILA HAUFIKA MSAKUZI MWISHO IPO KATIKATI USAFIRI DALADALA KUTOKA MBEZI HADI HAPO NAULI 700. NA BAJAJI 1000 UKISHUKA DAKIKA 2 USHAFIKA KWENYE NYUMBA .