Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(300,000 × 5,6) MBEZI KWA MSUGURI
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA KWA MSUGURI
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
SEBULE
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCKS
UMEME LUKU YAKE
MAJI YA BILL DAWASCO
BARABARA NZURI YA RAMI YA ZEGE
UMBALI KUTOKA STAND KILOMETER 2
USAFIRI WA BAJAJI 700
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 2 TU UMEFIKA
KODI 300,000 × 5,6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300