Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 4, 5, 6
.
.
NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA
.
.
IPO #KIMARA_KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI HII BRBR YA LAMI
#UMBALI WA DK 10 MPKA 12 KWA MIGUU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS PIA USAFIRI WA BAJAJI UPO 500 TU
.
.
SIFA ZAKE
#########
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#SEHEM YA JIKO
#CHOO NDAN
.
.
INA TILLES GYPSUM SAFI DRISHA SHATA MAZURI YENYE HEWA LUKU SABMITA NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 IPO NDAN YA FENS PARKING HAKUNA
.
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
.
CONTACT
#0712348316Whatsp
#0769680796whtsp