Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA 200,000/= X 6
🏘️APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#FENSI KUBWA
#PARKING
-----------------
BEI NI 200,000/= X 6
---------
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
-----
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
------
USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1
What saapp number ⬅️ 0689-547258