Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


CHUMBA SEBLE JIKO NA CHOO
INAPANGISHWA LAKI 300,000/= KWA MWEZI
MUDA WA MALIPO NI MIEZI 6
NYUMBA IPO MBEZI BEACH TANKI BOVU DAKIKA 5 TOKA LAMI HADI KWA NYUMBA
SERVICE CHARGE YA KUONYESHWA NYUMBA NI 25K
ITAKUA WAZI J MOS ILA SAIVI KUONA NA KULIPIA RUKUSA
NJOO FASTAR TUMALIZE BIASHARA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
📳 0767 037 728 📶
📳 0653 267 999 📶 ya WhatsApp