Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(150,000 × 3) MBEZI KWA MSUGURI
APARTMENT NZURI YA KISASA INAFAULISHWA
INAFAULISHWA MBEZI KWA MSUGURI
NI CHUMBA MASTER NA SEBULE
MAJI YANAFLOW NDANI
UMEME SUBMETER 4
BEI NI 150,000 × 3 ILIPWE LAKI MOJA NA NUSU KODI YA MIEZI MITATU TU
KUTOKA MOROGORO RAUD KM 2
USAFIRI UPO WA BAJAJI 700
BODABODA 1000
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15,000
DALALI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300