Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(400,000X6)MBEZI GOBA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Sana Mpyaa
Location #Mbezi_Goba Dakika 4 Kutembea mpka home
Kodi 400000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 15000 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
================
Room mbili 2 za Kulala no Master Bedroom
Sitting room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Blocks
Garden nzuri
Good environment
Contact us:-
0716223412
0683597453