Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
#APARTMENT MZULI MPYA MPYA ZA KISASA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
DINNING ROOM
STORE
JIKO SAFI LA KISASA LINAWEKWA MAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
BEI NI 650,000 ILIPWE LAKI SITA NA NUSU KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROUD KM 1
BARABARA SAFI NI LAMI AUKANYANGI TOPE
MPAPAKA GETINI
USAFILI UPO WA BAJAJI 700
BODA 1000
UKIISHUKA KWENYE BAJAJI DAKIKA MOJA 2 UPO NDANI
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15 UKIIPENDA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
Contact
0754344786
0652472014