Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#JIKO KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI 24HRS
#LUKU FAMILIA MBILI
BEI NI 150,000/= X 6
APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO KWA YUSUFU UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NJIA YA KUELEKEA MPIGI MAGOHE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000/=
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp