Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 250000X6
APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA MWISHO
UKISHUKA
KWENDA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 12
BODA BODA 1000
ZIPO NYUMBA MBILI KWENYE FENSI MOJA
SIFA YA NYUMBA
INA VYUMBA VYA KULALA VIWILI HAKUNA MASTA
CHOO NI PABILIKI
JIKO LIPO KUBWA SANA
SEBULE KUBWA SANA
UMEME KILA NYUMBA INAJITEGEMEA MAJI YA KUSHEA
NYUMBA MPYA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637