Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa.
Zipo 2 kweny fence.
Tiles,Gypsum ,Aluminium
Nyumba ipo Mbezi beach Karibu na Massana
sebule
Dining
jiko
Vyumba 3 (Kimoja master )
Public toilet.
Bei Tshs. 950,000
Mtaa mzuri
Dakika 5 kwa miguu . mpaka barabara ya Lami.