Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 200000X6
==
NYUMBA YA KUPANGA YANI STEND ALONE
===
IPO MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 2
======
BODA BODA 1000
KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 15
=====
SIFA YA NYUMBA
CHUMBA MASTA SEBULE JIKO LA NJE
=====
IPO KWENYE FENSI YA PEKE YAKE
ILA GARI AIGII NDANI
INAFIKA MPAKA MLANGONI
=====
UMEME ANAJITEGEMEA
MAJI YA KUSHEA
=====
KUPELEKWA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
=======
PIGA
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI