Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI MWISHO NJIA YA MARAMBA 150k
===
Chumba cha kulala
Sebule kubwa
Choo ndani
Na kibalaza chako
Umeme shared (2)
===
Kodi 150,000 Kwa mwezi ร 3
===
Umbali KUTOKA ROAD NI DKK 5 MPKA KWENYE NYUMBA
===
Nyumba ipo ndani ya fens mazingira mazur, chumban na sebren kuna feni saf
==={
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
Kodi ya mwezi mmoja Malipo ya dalali pindi ulipiapo nyumba
====CALL 0659244543