Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


๐๐ก๐๐ฃ๐๐ก๐๐๐ฆ๐๐ช๐: Ni apartment ya vyumba viwili (2) vya kulala, chumba kimoja ni 'MASTER BEDROOM', Sebule kubwa, Jiko na choo cha public ndani. Ipo ndani ya fensi parking space kubwa na inajitegemea umeme na maji.
๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ฃ๐ข: MBEZI MWISHO Njia ya kuelekea makabe. Umbali ni km 1 kutoka morogoro road. Usafiri bajaji au daladala tshs 500.
๐๐๐ ๐ฌ๐๐๐: Laki nne tu (400,000/- Tshs) ร Miezi 6 + mwezi mmoja malipo ya Dalali
๐ฆ๐๐ฟ๐๐ฒ๐ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ kupelekwa kuona nyumba ni Tshs 15,000/- tu. Italipwa mara moja na itatumika hiyo hiyo ikiwa mteja utataka kuona nyumba zingine.
๐ฃ๐๐๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ: 0758 892945 (Pia inapatikana WhatsApp)