Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 200,000/=X6
==≈=======
APATIMENTI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI
===========≈
UMBALI WA KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK 8
KUTEMBEA KWA MGUU
BODA BODA 1000
===========
SIFA NYUMBA
CHUMBA MASTA
SEBULE NA JIKO
UMEME ANAJITEGEMEA
MAJI YA KUSHEA
IPO NDANI YA FENSI
=============
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNANLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
=====
CONT
0683234124
0718367179