Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENTY MZURI SANA INAPANGISHWA IPO TEMBONI KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
DK 15 KUTEMBEA BODA BUKU BAJAJI 500, UKISHUKA UNATEMBEA DK 6
MUUNDO WAKE,
CHUMBA, SEBULE, JIKO, CHOO , PABLICK TOILET
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA MAJI YANATOKA JIKONI NA CHOONI
NDANI YA FENISI GETI LITAWEKWA FULL PEVING BLOCK
KODI 200 X 6 SIO CHINI YA MIEZI SITA,
KUONA NYUMBA 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI UKILIPIA NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747