Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUPH #200K
===
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko, public toilet nje
===
Kodi 200,000 Kwa mwezi × 6
===
Ndani ya fence parking IPO, umeme wawili Maji yanaflow chooni
===
Umbali dakika 10 kutoka Morogoro Road
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15k
PIGA SIMU
0719969102
0714903124