Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI YAKE 200K X6 
==
APATIMENT ZIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA KITUO G7
===
UKISHUKA KWENDA KWENYE NYUMBA DAKIKA 6
====
SIFA YA NYUMBA 
MASTER BEDROOM SEBULE 
KUBWA 
HAINA JIKO
=====
NYUMBA MOJA IPO WAZI
======
UMEME KILA NYUMBA 
INAJITEGEMEA MAJI YA KUSHEA WAWILI
======
IPO NDANI YA FENCE 
SERVICE CHARGE 15K 
UKILIPIA DALALI UNAMLIPA PESA YA MWEZI MMOJA 
=====
======
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363



















