Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
MBEZI MWISHO/ MAGUFULI STEND
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.5
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
ZIPO MBILI NDANI YA FENCE
HII MOJA NDIO IPO WAZI
KODI 300000 X 4 MPAKA 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM 0674860193