Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA#250,000/= X 6. ST.JOSEPH CHUO_MBEZI
NYUMBA MPYA KABISAAA
--------------------------------
๐Mahali:CHUO CHA ST.JOSEPH (Dsm) ๐น๐ฟ
PIA UNAWEZA PITIA MBEZI MWISHO STAND NDOGO YA DALADALA
Umbali:2.5 Km BODA 1000/=
__________________________
MUUNDO รท
โ๏ธVyumba 3 vy kulala
๐Kimojawapo Kikubwa ni Master
โ๏ธChoo ndani cha wageni
โ๏ธDinning ๐ฝ
โ๏ธJiko Zuri La Kisasa
โ๏ธNyumba Ni nzuri mnoo
โ๏ธ Mazingira Mazuri mno
โ๏ธImejitenga Peke Yake Kwa Pembeni.
_______________________________________
HUDUMA รท
โ๏ธMaji (YAPO NDANI) #
โ๏ธUmeme _LUKU YAKO
๐ Ndani Ya Fensi & PARKING KUBWA SANA
โผ๏ธPaving blocks
โโโโโโโโโโโโ
KODI; 250,000/=TZS. Kwa Mwezi
Malipo ni Miezi 6 + Mwezi 1 wa dalali
_________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
_________________________________________
SIMU ๐
0716223412
0683597453
______________