Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LA NJE
UMEME WANASHEA WATATU
MAJI YAKUSHEA BILL 5
BEI NI 150,000 X6 ILIPWE LAKI MOJA NA NA NUSU KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROAD KM 2
BARABARA SAFI NI LAMI
USAFIRI UPO WA BAJAJI 700
BODA 1000
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNTEMBEA DAKIKA MBILI UMEFIKA
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15 UKIIPENDA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
Piga cm 0764575774